January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

5 WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI

WATU 5 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Tabora kuhusiana na mauaji ya askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) aliyeuawa na watu wasiojulikana kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani.

KWA TAARIFA KAMILI, PATA GAZETI LA MAJIRA