January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Balozi Polepole

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole kabla ya mazungumzo yao kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole  kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2022.