Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (katikati) akizungumza na mdau aliyetembelea banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa ajili ya kujionea huduma mbalimbali zinazotolewa na mfuko huo katika Maonesho hayo ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), CPA. Hosea Kashimba (kulia) na Mkurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Masha Mshomba.
Mkurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba (katikati) akieleza jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), CPA. Hosea Kashimba.
More Stories
Shule ya Hollyland yafagiliwa ubora wa taaluma
Dkt.Kiruswa: Tanzanite kuuzwa ndani, nje ya Mirerani
Jamii yatakiwa kutafsiri maendeleo yanayofanywa na Rais