January 1, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Waziri Mhagama akagua maendeleo ya ukarabati bungeni

Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akimpa maelezo Waziri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama alipokuwa akikagua maendeleo ya ukarabati wa kumbi za Bunge pamoja na Ofisi za Bunge. (Picha zote na Ofisi ya Bunge)
Waziri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (kulia) akifafanua jambo kwa Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai alipokuwa akikagua maendeleo ya ukarabati wa kumbi za Bunge pamoja na
Sehemu ya jengo la Ofisi ya Bunge likiwa kwenye hatua za mwisho za ukarabati mara baada ya kukaguliwa na Waziri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama hii leo Jijini Dodoma.