January 12, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mbarawa akagua ujenzi wa gati Kemondo

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akimsikiliza Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Juma Kijavara kuhusu hatua iliyofikiwa ya utekelezaji wa mradi wa bandari ya Kemondo, wakati Waziri huyo alipokagua mradi wa bandati hiyo Mkoani Kagera.
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akimsikiliza Meneja mradi wa bandari ya Kemondo Mhandisi Jamal Mruma kuhusu hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa gati katika bandari hiyo wakati Waziri huyo alipokagua mradi wa bandari hiyo Mkoani Kagera.


Sehemu ya Mafundi wa Kampuni ya China Railway Major Bridge Engineering Limited wakiwa kazini katika mradi wa maboresho ya bandari ya Kemondo, mkoani Kagera.
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akimsikiliza Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya Dar Al-Handasih Mhandisi Immanuel Magori kuhusu hatua iliyofikiwa ya usimikaji wa nguzo katika za gati katika bandari ya Kemondo wakati Waziri huyo huo Mkoani Kagera.
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) mara baada ya kukagua maendeoe ya mradi wa bandari ya Kemondo, mkoani Kagera.
Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa nguzo za gati katika bandari ya Bukoba. Ujenzi wa bandari hiyo unagharimu takribani shilingi bilioni 19 na unatarajiwa kukamilika mwezi mei mwakani.
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) mara baada ya kukagua maendeleo ya mradi wa bandari ya Bukoba, mkoani Kagera.