December 26, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

TCAA washiriki maadhimisho ya MEI MOSI

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wameungana na wafanyakazi wengine Duniani kushiriki katika maadhimisho Ya siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) ambayo kitaifa yamefanyika Jijini Arusha ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Philip Mpango.

Maadhimisho haya yamepambwa na kauli mbiu isemayo “Nyongeza ya mishahara ni msingi wa mafao bora na kinga dhidi ya hali ngumu ya maisha”.