Na Esther Macha, TimesMajira Online, Mbeya
MZEE Daud Myoka mkazi wa Kijiji cha Mtepa kata ya Lituta katika Halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma (54)amejikuta akianza maisha mapya baada ya Taasisi ya Tulia Trust kuanza ujenzi wa nyumba yake aliyokuwa akiishi na kuiboa.
Akizungumzia ujenzi huo Ofisa habari wa Taasisi ya Tulia Trust, Joshua Mwakanolo amesema kuwa nyumba ya Mzee huyo haikuwa na msingi ambapo mzee huyo alimua kuinua kwasababu hali yake ya kimaisha kuwa duni.
Amesema kuwa Mzee huyo baada ya nyumba yake kubomolewa ili kupisha ujenzi unaoendelea kilibakizwa chumba kimoja ambacho analala na waatoto wake watatu.


More Stories
DCEA yateketeza zaidi ya ekari 300 za bangi
Kapinga: PURA endeleeni kuwavutia wawekezaji utafutaji Mafuta, Gesi
Waziri Kabudi atoa somo kwa BASATA