Na Jackline Martin, Timesmajira Online, Arusha
Leo Mei 1, 2022 umefanyika mkutano wa kwanza katika kulekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani uliofanyika Jijini Arusha katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Gran Melia
Kaulimbiu ya mwaka huu ni ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti’
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile akizungumza katika mkutano wa kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya habari uliofanyika Jijini Arusha leo katika ukumbi wa mikutano Gran Melia (Mei 1, 2022) ambapo kaulimbiu ya mwaka huu ni ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti’
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson msigwa akizungumza katika mkutano wa kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya habari uliofanyika Jijini Arusha leo katika ukumbi wa mikutano Gran Melia (Mei 1, 2022) ambapo kaulimbiu ya mwaka huu ni ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti’
Wadau wa habari wakiwa katika mkutano wa Uhuru wa Vyombo vya habari uliofanyika Jijini Arusha katika ukumbi wa mikutano Gran Melia leo (Mei 1, 2022) ambapo kaulimbiu ya mwaka huu ni ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti’
Wadau mbalimbali wa habari wakiwa katika mjadala unaohusu changamoto wanazopitia waandishi wa habari wanapotimza majukumu yao.Majadiliano hayo yamefanyika jijini Arusha katika Mkutano wa Siku ya Uhuru wa Vyombo vya habari Duniani, uliofanyika leo (Mei 1, 2022)
katika ukumbi wa mikutano Gran Melia
Mwenyekiti wa MISA TAN, Salome Kitomari akizungumza katika siku ya kwanza kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani uliofanyika Jijini Arusha katika ukumbi wa Mikutano Gran Melia leo (Mei 1, 2022) ambapo kaulimbiu ya mwaka huu ni ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti’
Mwenyekiti wa EAES, Churchill Otieno akizungumza katika siku ya kwanza kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani uliofanyika leo (Mei 1, 2022) jijini Arusha katika ukumbi wa mikutano Gran Melia ambapo amesema Sehemu ambayo kuna ukuaji wa Demokrasia, basi alama yake kubwa ni watu wake wanapata Habari sahihi.
Mwakilishi wa Kamati ya Kulinda Waandishi (CPJ), Muthoki Mumo akizungumza katika siku ya kwanza kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani uliofanyika leo (Mei 1, 2022) jijini Arusha katika ukumbi wa mikutano Gran Melia ambapo kaulimbiu ya mwaka huu ni ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti’
Post Views: 532
Continue Reading
More Stories
CP.Wakulyamba ashuka Katavi na Nguzo nne za Uongozi
Zanzibar kuzalisha wachezaji wenye vipaji
Maandalizi ya mkutano mkuu CCM yapamba moto