Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Swrikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo imara na inaemdelea kutekeleza miradi ya kimkakati
Amesema utekeleza wa miradi hiyo utawawezesha wananchi kutekeleza majukumu yao kikamilifu na kushiriki katika shughuli za kujiingizia kipato.

Amesema hayo leo Juni 02, 2024 wakati akizungumza na wananchi wa mji mdogo wa Katoro uliopo mkoani Geita.
“Miradi hii ni ile ya huduma za kijamii ambayo watanzania, wanakatoro kila siku lazima muiguse, Serikalo imejikita hapo”.
More Stories
DCEA yateketeza zaidi ya ekari 300 za bangi
Kapinga: PURA endeleeni kuwavutia wawekezaji utafutaji Mafuta, Gesi
Waziri Kabudi atoa somo kwa BASATA