
Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Limited kupitia kampeni yake inayoendelea ya INAWEZEKANA mwishoni mwa wiki ikiwa Mkoani Kilimanjaro, imetoa elimu juu ya matumizi sahihi ya pombe ambayo inajumuisha unywaji wa kiasi, kunywa maji na kula chakula sambamba utumiapo vilevi pamoja na kupinga uendeshaji wa vyombo vya moto endapo umetumia kilevi.
Kampuni ya Serengeti inatoa rai kwa jamii kuchukua hatua kupinga matumizi mabaya ya vilevi na kuhamasisha kila mmoja kuwa balozi wa kunywa kistaarabu.




More Stories
Zaidi ya wananchi 300 wafanyiwa upasuaji wa macho Mbeya
Rais Samia aomboleza kifo cha Papa Francisko
Papa Francis afariki Jumatatu ya Pasaka akiwa na miaka 88