December 24, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Samia azungumza na wawekezaji, wadau wa Maendeleo na baadhi ya viongozi wa nchi za Afrika

,Na Mwandishi Wetu, TimesMajiraOnline

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji, wadau wa maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mkutano wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA)uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 18 Januari, 2023.\

Katika mkutano huo uliohusishawadau hao, Mhe. Rais Samia amesisitiza kuimarisha Ushirikiano na wadau hao pamoja na kuzitafutiaufumbuzi changamoto za Uwekezaji ili nchi za Afrika zizidi kuzalisha kwa tija.