Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi akivuta uradi baada ya kumaliza kwa Sala ya Isha iliofanyika katika Masjid Sunna Rahaleo Jijini Zanzibar, (Msikiti wa Bachu Rahaleo) na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume na (kulia kwa Rais) Kiongozi wa Masjid Sunna Rahaleo Sheikh Ahmed Haidar Jabir.(Picha na Ikulu)Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Ibada ya Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Sunna Rahaleo Jijini Zanzibar (Msikiti wa Bachu Rahaleo) na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume na (kulia kwa Rais) Kiongozi wa Masjid hiyo Sheikh Ahmed Haidar Jabir.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kiongozi wa Masjid Sunna Rahaleo Jijini Zanzibar (Msikiti wa Bachu Rahaleo) Sheikh Ahmed Haidar Jabir, alipowasili katika viwanja vya Masjid hiyo kuhudhuria Ibada ya Sala ya Isha na Tarawekh, iliofanyika jana usiku 21-4-202
More Stories
Kapinga :Zaidi ya nyumba 800 Mtwara kuunganishwa na mfumo wa gesi ya kupikia
Ilemela yatenga milioni 920 kwa ajili ya mikopo ya vikundi
Tabora Network yawezesha vijana kiuchumi