Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu akiwa kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu akizungumza akiwa kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema akizungumza kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu, Jijini Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu akigonganisha glass cheers na mwenyeji wake Rais wa Zambia Hakainde Hichilema wakati wa Dhifa ya Kitaifa iliyofanyika Jijini Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu akigonganisha glass cheers na viongozi wengine wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Zambia Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.Viongozi mbalimbali wakiwa wamesimama kwa Heshima ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania uliokuwa ukiimbwa wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais wa Zambia Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.
More Stories
Rungwe yajenga soko kukuza uchumi kwa wananchi
Waislamu Mwanza wapokea Ramadhani kwa maandamano ya kidini
Kamati ya kudumu ya Bunge ya utawala,katiba na sheria yaridhishwa ujenzi soko Kariakoo