December 26, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia azungumza na watanzania waishio nchini Korea

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Tabora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania waishio Nchini Korea Kusini ikiwa ni moja ya ratiba ya kumaliza Ziara yake na Kuanza safari ya kurejea Nchini Tanzania.