December 26, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia awasili Jijini Dar es Salaam wakati akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam wakati akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 28 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam wakati akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 28 Februari, 2022.