Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Zambia ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Hakainde Hichilema katika Ikulu ya Lusaka tarehe 25 Oktoba, 2025Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema mara baada ya kuwasili Ikulu ya Lusaka nchini Zambia tarehe 25 Oktoba, 2025Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akikaribishwa Ikulu Jijini Lusaka na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde tarehe 25 Oktoba, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakati wakielekea kwenye mazungumzo katika Ikulu ya Lusaka nchini Zambia tarehe 25 Oktoba, 2025Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Zambia ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Hakainde Hichilema katika Ikulu ya Lusaka tarehe 25 Oktoba, 2025
More Stories
Waislamu Mwanza wapokea Ramadhani kwa maandamano ya kidini
Kamati ya kudumu ya Bunge ya utawala,katiba na sheria yaridhishwa ujenzi soko Kariakoo
TRA Tanga yakusanya bil.178.3 kwa miezi sita