December 26, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) mara baada kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) mara baada mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.