December 27, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia afungua mkutano mkuu wa mwaka SEACJF

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) uliofanyika Mkoani Arusha leo October 23,2023.

Mkutano huo umehusisha Majaji Wakuu wa Nchi wanachama wa jukwaa hilo ikiwemo Kenya,Uganda,Namibia, Zimbabwe,Eswatini, Msumbiji,Seychelles, Botswana,Angola, Zanzibar, Malawi, Lesotho, Mauritius, Zambia na Afrika ya Kusini.