January 27, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia afuatilia Bajeti Kuu ya Serikali

Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatilia mapendekezo ya serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 iliyowasilishwa na Mwigulu Nchemba Bungeni leo.