January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia afanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Mapema leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Daniel Fransisco Chapo Ikulu Mkoani Dodoma.

Uhusiano wa Tanzania na Msumbiji ni wa miaka na mikaka Serikali zote mbili ni marafiki kupitia vyama vya Ukombozi FRELIMO na TANU sasa CCM.