December 27, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia afanya mazungumzo na Kardinali Rugwamba

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa mara baada ya kuwasili katika Makazi yake Uaskofuni Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.

Rais Samia alifika katika Makazi ya Baba Askofu Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa kwa ajili ya kumpongeza.