January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Mwinyi ashiriki swala ya Ijumaa Masjid Jamiu Z’bar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimskiliza Mwanasiasa Mkongwe na Muasisi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Bi.Asha Simba Makwega alipofika nyumbani kwake Kilimani,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo alipofika kumjulia hali.[Picha na Ikulu]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo alipokuwa akitoa agizo kwa Katibu wa Mufti Mkuu Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume mara baada ya swala ya Ijumaa pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Jamiu Zinjibar,Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo alipofuatana na Katibu wa Mufti Mkuu Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume (kushoto) mara baada ya swala ya Ijumaa pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Jamiu Zinjibar,Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo.