December 23, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kuweka kumbukumbu kwenye ukuta wa Handaki kubwa mara baada ya kumaliza kulikagua Handaki hilo mkoani Kilosa mkoani Morogoro

Rais Magufuli aweka jiwe la msingi ujenzi wa mahandaki SGR Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na baadhi ya Mawaziri, wakuu wa Mikoa, viongozi mbalimbali, akikata utepe ili kuzindua mitambo itakayotumika katika ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Eng. Isack Kamwelwe pamoja na viongozi mbalimbali akiweka jiwe la msingi Ujenzi wa Barabara ya Dumila-Kilosa-Mikumi sehemu ya Rudewa-Kilosa Km 24 katika sherehe zilizofanyika katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mawaziri, baadhi ya Viongozi wa Serikali, katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Kampuni zinazojenga mradi wa Reli ya Kisasa SGR Kilosa mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Waziri wa Ujenzi Eng. Isack Kamwelwe wakati akionesha sehemu sehemu litakapojengwa daraja la kupitisha Reli katika Mto mkondoa Kilosa mkoani Morogoro