Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi kutoka Stanbic Bank Tanzania (SBT), Omari Mtiga (kulia) akumueleza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuhusu huduma zinazotolewa na benki hiyo ikiwemo mikopo ya kifedha itakayowawezesha wakulima kupata zana za kisasa za kilimo kwa ajili ya kilimo biashara wakati wa maonyesho ya Nane Nane yaliyofanyika kitaifa mkoani Mbeya. Aliyesimama pembeni ya Rais (kushoto) ni Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mheshimiwa Abdallah Ulega akizungumza kwenye banda la Stanbic Bank Tanzania (SBT) mara baada ya kujionea huduma mbalimbali ikiwemo mikopo ya fedha hasa zana za kisasa kwa ajili ya kilimo biashara zinazotolewa na benki hiyo wakati wa maonesho ya Nane Nane mkoani Mbeya. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mheshimiwa Abdallah Ulega (kulia) akizungumza na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi kutoka Stanbic Bank Tanzania (SBT), Omari Mtiga kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo ikiwemo mikopo ya fedha itakayowawezesha wakulima kupata zana za kisasa za kilimo kwa ajili ya kilimo biashara wakati wa maonesho ya Nane Nane mkoani Mbeya. Post Views: 450 Continue Reading Previous Diwani Maanya ajivunia utekelezaji ilani kutokana na Uongozi madhubuti wa Rais SamiaNext Rais Dkt. Samia aipongeza NMB kwa mchango wao katika Sekta ya kilimo More Stories Habari Dodoma yaandaa Kongamano kutatua changamoto za ajira kwa vijana November 18, 2024 zena chitwanga Habari Dkt. Pindi Chana aweka jiwe lamsingi jengo la jiolojia Karatu November 18, 2024 Hamisi Miraji Habari TotalEnergies yampongeza Rais Samia maboresho kwenye elimu November 18, 2024 reuben kagaruki
More Stories
Dodoma yaandaa Kongamano kutatua changamoto za ajira kwa vijana
Dkt. Pindi Chana aweka jiwe lamsingi jengo la jiolojia Karatu
TotalEnergies yampongeza Rais Samia maboresho kwenye elimu