December 26, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Dkt. Samia ashiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akichangia moja ya mada katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Viongozi mbalimbali kutoka ndani na Nje ya Tanzania wakiwa kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais wa Kenya Mhe. William Ruto pamoja na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus Chakwera wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto, Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus Chakwera, Rais wa Madagascar Mhe. Andry Rajoelina, Rais wa São Tomé na Principe Mhe. Carlos Vila Nova pamoja na Rais wa Sierra Leone Mhe. Julius Maada Bio wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JINCC) Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.