January 11, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais awasili Dodoma akitokea Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Baadhi ya viongozi wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo Juni 29,2021 akitokea Jijini Dar es salaam.