Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani Juma Ndaruke (kushoto), akikabidhiwa fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo kwenye uchanguzi wa ndani wa CCM Wilaya ya Kibiti kutoka kwa Katibu wa CCM wa wilaya hiyo Mwidini Yayaha Zakaria (kulia). Ndaruke amechukua fomu hiyo leo Jumamosi 9 Julai 2022 na kisha kuirudisha baada ya kuijakaza kulingana na taratibu za chama huku uchanguzi huo ukitarajiwa kufanyika mwezi wa kumi mwaka huu.Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani Juma Ndaruke, akionyesha fomu ya kuomba kuteuliwa nafasi ya mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kibiti. Ndaruke amechukua fomu hiyo leo Jumamosi 9 Julai 2022 na kisha kuirudisha baada ya kuijakaza kulingana na taratibu za chama huku uchanguzi huo ukitarajiwa kufanyika mwezi wa kumi mwaka huu.Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani Juma Ndaruke, akikangua kwa umakini fomu za kuomba kuteuliwa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo. Ndaruke amechukua fomu hiyo leo Jumamosi 9 Julai 2022 na kisha kuirudisha baada ya kuijakaza kulingana na taratibu za chama huku uchanguzi huo ukitarajiwa kufanyika mwezi wa kumi mwaka huu. Anayeangalia ni Katibu wa CCM wa wilaya hiyo Mwidini Yayaha Zakaria.
More Stories
Kamati ya kudumu ya Bunge ya utawala,katiba na sheria yaridhishwa ujenzi soko Kariakoo
TRA Tanga yakusanya bil.178.3 kwa miezi sita
Wataalam Sekta ya utalii watakiwa kufanya kazi kwa uadilifu,kujituma na kuwa wabunifu