Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani akijadiliana jambo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega katika Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo, watu mbalimbali wakiwemo wa chama na serikali walihudhuria. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani wa tano kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na na baadhi ya wabunge wa Mkoa wa Pwani na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete wa sita kutoka kulia kwenye Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. Post Views: 91 Continue Reading Previous Kada Kaniki achangia Mil. 1 CCM MajoheNext Wafanyabiashara soko la Bwilingu watakiwa kuzingatia usafi More Stories Habari FDH yaanza kutekeleza mradi wa kuwajengea uwezo wanawake wenye ulemavu December 25, 2024 Penina Malundo Habari Airtel yatoa zawadi kwa wateja wake December 25, 2024 Judith Ferdnand Habari Kitaifa Mpango ashiriki mazishi ya Mama yake Serukamba December 24, 2024 Abdallah Mashaka
More Stories
FDH yaanza kutekeleza mradi wa kuwajengea uwezo wanawake wenye ulemavu
Airtel yatoa zawadi kwa wateja wake
Mpango ashiriki mazishi ya Mama yake Serukamba