Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Leo tarehe 07 Agosti, 2023 Mkurugenzi wa Ukaguzi na Biashara ya Madini, Andrew Mgaya amefanya ziara katika Mgodi wa Dhahabu wa North Mara uliopo katika Wilaya ya Tarime mkoani Mara lengo likiwa ni kuangalia mgodi huo unavyotekeleza shughuli za Uzalishaji, Ushirikishwaji wa Watanzania kwenye Sekta ya Madini na Wajibu wa Kampuni kwa Jamii.
Katika ziara hiyo, Mkurugenzi wa Ukaguzi na Biashara ya Madini, Andrew Mgaya ameambatana na Timu ya Wataalamu kutoka Tume ya Madini.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za ziara hiyo katika Mgodi wa North Mara.
More Stories
‘Ni Wasira ‘Makamu Mwenyekiti CCM Bara
15 mbaroni tuhuma wizi wa shehena ya unga wa sembe
Wacheza rafu Uchaguzi Mkuu ujao waonywa