Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi (kushoto) akiagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi hiyo Meja Jenerali Charles Mbuge (kulia) mara baada ya kumaliza muda wake wa utumishi katika ofisi hiyo.Ameagana naye tarehe 04 Oktoba 2023 katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dodoma. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi (wa kwanza kushoto) Pamoja na Naibu wake Bw. Anderson Mutatembwa (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi hiyo Meja Jenerali Charles Mbuge (katikati) mara baada ya mazungumzo yao ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake wa utumishi katika ofisi hiyo. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Anderson Mutatembwa akiagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi hiyo Meja Jenerali Charles Mbuge mara baada ya kumaliza muda wake wa utumishi katika ofisi hiyo. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi (wanne kutoka kushoto) Naibu wake, Bw. Anderson Mutatembwa (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi hiyo Meja Jenerali Charles Mbuge (wanne kutoka kulia) tarehe 04 Oktoba 2023 katika ofisi yake Jijini Dodoma.(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU Post Views: 665 Continue Reading Previous Chongolo atoa miezi miwili TAMISEMI kupeleka fedha TanganyikaNext Mwanafunzi anayedaiwa kumkata panga mwalimu apandishwa kizimbani More Stories Habari Watendaji wa uboreshaji Tanga, Pwani watakiwa kufuata sheria kuhamasisha wananchi February 4, 2025 Hamisi Miraji Habari Wiki ya Sheria yatambua mchango wa Majira, TimesMajira Online February 4, 2025 Judith Ferdnand Habari Kamati ya kudumu ya Baraza la Wawakilishi mawasiliano,ardhi na nishati Zanzibar,yaipongeza TASAC February 4, 2025 zena chitwanga
More Stories
Watendaji wa uboreshaji Tanga, Pwani watakiwa kufuata sheria kuhamasisha wananchi
Wiki ya Sheria yatambua mchango wa Majira, TimesMajira Online
Kamati ya kudumu ya Baraza la Wawakilishi mawasiliano,ardhi na nishati Zanzibar,yaipongeza TASAC