December 27, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Masaburi afanya ziara Kata ya Pugu

Na Heri Shaaban, TimesMajira Online, Ilala

Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar aes Salaam Ojambi Masaburi Leo Octoba 31 /2022 amefanya ziara Kata ya Pugu Stesheni Bangulo katika mgogoro wa Urasimishaji chini ya Mipango Miji.

Aidha pia katika ziara hiyo MH,Masaburi ametatua kero ya Madarasa mapya ,ambapo Halmashauri wapo katika mchakato wa Ujenzi wameshatenga fedha za Ujenzi ,fedha zipo akaunti ya Kata .

Pichani ,Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji Ojambi Masaburi akizungumza na wananchi wa Pugu Stesheni Bangulo .