



Dar Es Salaam
NYOTA wa zamani wa Klabu ya Manchester United, Rio Gavin Ferdinand amewasili hapa nchini Tanzania Jumanne 19 Mei,2026 huku wananchi wakijitokeza kumlaki.
Mchezaji huyo (mstaafu) aliyechezea timu ya Taifa ya Uingereza na alijibebea umaarufu mkubwa alipoichezea Manchester United kwa miaka 12 akiwa Mlinzi wa Kati na Nahodha wa Timu hiyo bora nchini Uingereza ameingia nchini kwa mwaliko wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Paul Christian Makonda.

More Stories
TCRA, Polisi na mkakati wa kudhibiti uhalifu mtandaoni Rukwa
Tuzo shindani kuongeza tija ya sekta ya Maziwa
Mwenyekiti Act Wazalendo Dodoma ahaidi siasa za hoja