March 19, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Kuelekea Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa

Na Mwandishi wetu, Timesmajira

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi,Dkt.Pindi Chana(Mb) akiwa ameongozana na Naibu Waziri, Dunstan Kitandula (Mb) pamoja na Wakurugenzi mbalimbali kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake kukagua maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa inayotarajiwa kufanyika Machi 21,2025 Mkoani Njombe.