Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online, Geita
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wamezuru na kufanya sala katika kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake, Chato mkoani Geita.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wakifanya sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake, Chato mkoani Geita.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuzuru na kufanya sala kwenye kaburi hilo, Chato mkoani Geita.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wakifanya sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake, Chato mkoani Geita.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha wageni wakati alipozuru na kufanya sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake, Chato mkoani Geita.
Post Views: 260
Continue Reading
More Stories
Wanachi wahimizwa kusajili biashara,majina ya kampuni BRELA
Bunge lapitisha muswada wa Sheria za kazi,wanaojifungua watoto njiti waongezwa likizo ya uzazi
GreenFaith yatoa mapendekezo yake mkutano wa mission 300 kwa Wakuu wa nchi,Serikali za Afrika