December 27, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Dkt. Yonazi aongoza kikao Cha Kamati tendaji ya program ya kuendeleza Kilimo na uvuvi (AFDP)

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichofanyika tarehe 20 Juni, 2024 Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara wa Mifugo na Uvuvi Profesa Riziki Shemdoe akizungumza jambo wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichofanyika tarehe 20 Juni, 2024 Jijini Dar es Salaam
Mratibu wa Program ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Salimu Mwinjaka akieleza jambo wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP)
Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Kapteni Hamad Bakar Hamad akifafanua jambo wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP).
Kiongozi wa Timu ya Mshauri Muelekezi wa upembuzi yakinifu wa ununuzi wa Meli za Uvuvi kutoka Kampuni ya DMG na Chuo Kikuuu Cha Dar es Salaam Dkt. Aloyce Hepelwa akiwasilisha taarifa ya upembuzi yakinifu wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP).
Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uvuvi Nchini (TAFICO) Bw. Denis Simba akizungumza wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP)
Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) wakifuatilia hoja wakati wa kikao hicho.