Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Zikiwa zimepita siku chache tokea kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko nchini Qatar, Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch Tanzania imewapa wateja wake na wadau wote wa kubeti mchongo wa kujishindia gari mpya na ya kisasa kabisa, simu janja pamoja na bodaboda kutoka katika kampeni yao ya Chomoka na Ndinga.
Hayo yamebainishwa na Afisa Habari wa Parimatch Tanzania, Ismael Mohamed wakati alipokuwa akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo leo na kusema kuwa Promosheni hiyo ni mahususi kwa wateja wao wote wa Parimatch wenye akaunti na hata wateja wapya watakaojiunga katika kipindi hichi cha Kombe la Dunia.
“Katika kipindi cha kuanzia 22.11.2022 hadi 26.12.2022, mteja wa Parimatch akifanya bashiri kwenye mchezo wowote kupitia www.parimatch.co.tz basi ataingia moja kwa moja katika droo wa kuwania Gari aina ya Urban Cruiser yenye O kilometa kutoka kwenye Showroom ya Toyota Tanzania, Bodaboda aina ya Hero Hunter 125cc na smartphone aina ya Samsung Galaxy A03 Core (Simu janja)”, alisema Ismael.
Aidha Ismael aliendelea kwa kusema kuwa
Pamoja na hayo, Ismael amefafanua kuwa katika promosheni hiyo Sehemu ya michezo ya TVBET, Live Casino, Casino New na michezo ya Virtual haitaruhusiwi kushiriki katika promosheni hiyo.
Kampuni ya Parimatch ndio kinara wa michezo ya kubashiri mtandaoni na imekuwa ikitoa ofa kubwa ya bonasi ya 100% mpaka TZs 1,000,000 kwa wateja wapya wanaojiunga nasi! Parimatch imekuwepo nchini Tanzania tangu mwaka 2019, ikitoa huduma nzuri ikijumuisha malipo ya haraka, odds kubwa na promosheni za kusisimua kwenye soka, Kasino na Michezo ya virtual.
Mbali na soka, kampuni ya Parimatch pia hutoa mamia ya matukio kila siku kwenye tenisi, UFC, mpira wa vikapu, Kriketi, baseball na michezo mingine mingi ya Live na pre-match.
More Stories
Mhandisi Kundo agoma kuweka jiwe la msingi mradi wa maji
Tanzania Mwenyeji wa Mkutano wa nchi zinazozalisha kahawa Afrika
Watatu mbaroni kwa tuhuma za mauaji wakigombania shamba