December 26, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

CFC yang’ara upandikizaji watoto kwa wanawake

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Wafanyakazi wa Chennai fertility centre and research (CFC) Wakiwa na daktari bingwa wa maswala ya Watoto wa kupandikiza Dr. Guatham Hanji, wakiwa katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya biashara (Sabasaba), wakiwakaribisha wananchi wote kutembelea katika Banda lao kupata huduma za afya ya uzazi (Test tube Babes) Maonesho hayo yalianza tarehe 1/7 na kumalizika tarehe 13/7 mwaka huu. (Picha na Mpiga picha wetu)