January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

CDE:Jokate aongoza Jogging maalum kuhamasisha vijana kujiandikisha Daftari la kudumu la wapiga kura

Na Mwandishi wetu, Timesmajira

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) ameongoza Jogging maalum Mkoa wa Kigoma kuhamasisha Vijana kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura tarehe 21 Julai, 2024.