Na Martha Fatael,Moshi, Timesmajira Online,Moshi RAIS Dkt.Samia Suluhu Hassan ameonesha kukerwa na tuhuma, zinazolikabili Jeshi la Polisi nchini, kuhusu vitendo...
Habari
Na Mwandishi wetu, TimesMajira online Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kuthibitisha kuwa yeye ni kiongozi madhubuti anayeweka maslahi ya Tanzania...
Na George Mwigulu,Timesmajiraonline, Katavi. JESHI la polisi Mkoa wa katavi limeshiriki kufanya zoezi la usafi na uchangiaji damu katika hospitali...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Alhaji Dkt. Abubakar Zuber Bin Ally Mbwana amewataka Waislamu...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imewaagiza wamiliki wa vituo vya...
Na Mwandishi wetu, Timesmajira Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa ametangaza...
Judith Ferdinand, Timesmajira Online,Dar Licha ya jitihada za wanawake kuchangia demokrasia nchini, lakini bado mchango wao haujathaminiwa,hali ambayo inafifisha jitihada...
Na Mwandishi Wetu,Timesmajiraonline,Kahama WAZIRI wa Kilimo, Hussin Bashe, amesema Rais Dk.Samia Suluhu Hassan hana deni kwa Watanzania katika sekta ya...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amekabidhi madume bora ya ng’ombe wa nyama...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Mfanyabiashara maarufu wa Magari Tanzania Dotto Keto maarufu 'Dotto Magari' mepongeza juhudi za Rais wa...