Na Mwandishi Wetu,Timesmajiraonline,Morogoro JUMLA ya watumishi 49 kutoka halmashauri 12,wamepatiwa mafunzo ya matumizi ya Mfumo wa Kielektroniki wa Kuratibu Vikao...
Habari
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online RUVUMA WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro amewaasa watanzania kuzingatia miiko, mila...
Na  Mwandishi Wetu, Timesmajira OOnline SERIKALI imewaalika wananchi na wadau mbalimbali kuhudhuria mkutano wa kukusanya maoni kuhusu Sera mpya ya...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira OnlineKatika hatua muhimu kuelekea kuboresha utawala wa kidigitali, Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ) kwa kushirikiana...
Na Cresensia Kapingai, Timesmajiraonline Songea. WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.Damas Ndumbaro, amewataka Watanzania kutunza na kuendeleza urithi wa...
Na Esther Macha, Timesmajira Online, Mbeya WAZAZI na walezi wametakiwa kuwakagua watoto wa kiume badala ya kuelekeza nguvu kwa watoto...
Na Mwandishi wetu, Timesmajira Mkazi wa Lindi,Karume Karume (41) aliyesumbuliwa na uvimbe sehemu mbalimbali za mwili wake kwa zaidi ya...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Kampuni ya Airpay...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online, Arusha. Benki ya NMB imefanikiwa kukabidhi udhamini wa vifaa vya michezo kwa ajili ya wachezaji...
Na mwandishi wetu, TimesMajira Online, Zanzibar Kuelekea pambano la marudiano raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL...
