Na Doreen Aloyce,Dodoma SPIKA wa Bunge Job Ndugai, amewataka wabunge wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe kurudisha...
Habari
Na Suleiman Abeid, Shinyanga JESHI la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Suleiman Masoud Suleiman...
Na Mwandishi Wetu Wanasayansi wamegundua aina mpya ya virusi vya corona ambavyo wanadai huenda vikasambaa kwa kasi zaidi duniani kuliko...
Zipo SACCOS 2,513, AMCOS 229, zoezi linaendelea,vyama kuchukuliwa hatua kwa kukiuka masharti Na Mwandishi Wetu, Dodoma SERIKALI imetangaza kufuta vyama...
Na Suleiman Abeid, Shinyanga MWANAMKE mkazi wa Mji Mdogo wa Kagongwa, wilayani Kahama mkoani Shinyanga (Jina limehifadhiwa) anatarajia kukata rufaa...
Na Mwandishi Wetu BEI za jumla na rejareja za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta yaliyopokelewa nchini kupitia Bandari ya...
Na Doreen Aloyce, Dodoma MBUNGE wa Jimbo la Momba, David Silinde (Chadema) ametangazakujiudhulu nafasi zake alizonazo ndani ya chama hicho...
Judith Ferdinand, Mwanza JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza limemkamata mwanamke mmoja kwa tuhuma za kuhusika na tukio la kutelekeza...
Na Penina Malundo WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amemtaka Katiba Mkuu (Afya) kuwasimamisha...
Judith Ferdinand, Mwanza MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Rodha Shabani (27), Mkazi wa Kijiji cha Mwankali Wilayani Misungwi Mkoani...