Na Fresha Kinasa,TimesMajira Online, Mara Daktari Theophili Kayombo amekuwa mtia nia wa 42 kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania ubunge...
Mikoani
Na Mutta Robert,TimesMajira Online, Geita Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu mapema leo amechukua fomu kutetea nafasi yake...
Na Mwandishi Wetu, Simiyu WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ametaja sababu zilizomsukuma kuwania tena ubunge wa Jimbo la...
KINYANG'ANYIRO cha uchukuaji fomu kwa wanawake kinaaendelea ambapo Mhandisi Maryprisca Mahundi amechukua fomu ya kuomba ridhaa kuteuliwa kugombea Ubunge Viti...
Na Zuhura Zukheir, TimesMajira Online, Dar es Salaam Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mafinga, Cosato Chumi amefika katika ofisi za...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online, Dar es Salaam MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Liwale, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amando...
Esther Macha, TimesMajira Online, Kyela MPIGAMPICHA maarufu Jijini Mbeya, Obadia Mwakibinga amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la...
Na Zuhura Zukheir, TimesMajira Online, Iringa. Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jackson Kiswaga amefika katika ofisi za chama hicho...
Na Zuhura Zukheir, TimesMajira Online, Iringa. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amefika ofisi za Chama...
Na Yusuph Mussa, TimesMajira Online, Songea ALIYEKUWA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera- Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na...