Na Mwandishi Wetu,Timesmajiraonline, ZanzibarNAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo tarehe 8 Januari, 2024 amefungua Kongamano...
zena chitwanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt.Immaculate Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa...
Na Mwandishi wetu,Timesmajiraonline, Zanzibar TAASISI za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Binafsi zimetakiwa kuendelea kufanya maonesha ili kutangaza kazi zao...
Na Mwandishi Wetu,Timesmajiraonline WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na watoto Riziki Pembe Juma ameipongeza Benki ya Watu wa...
Na Agnes Alcardo,TimesmajiraOnline,Dar WAKAZI watatu wa Kigamboni jijinii Dar es salaam, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa...
Na Mwandishi Wetu,Timesmajiraonline,Dar es Salaam. NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko leo tarehe 29 Disemba, 2023...
Na Esther Macha Timesmajira Online, Kyela NAIBU Waziri wa Maji (Mb) Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema kuwa wizara ya maji katika...
Na Mwandishi wetu,Timesmajiraonline, Hanang WAATHIRIKA wa maafa yaliyotokea wilayani Hanang mkoa wa Manyara, Desemba 3, mwaka huu, wameendelea kunuifaika na...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma MAMLAKA ya Serikali Mtandao(e-GA),imesema imetekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan la...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imewataka Viongozi wote wa Umma kuzingatia matakwa ya katiba na...