Na Lubango Mleka, Timesmajira Online. KILA ifikapo Machi 16 hadi 22 ya kila mwaka Wananchi wote Dunia huazimisha wiki ya...
Penina Malundo
Na Mwandishi wetu, timesmajira,Online TANZANIA imekuwa mwenyeji wa mkutano wa Kamati ya Kuchakata Data za Hali ya Hewa Duniani, lengo...
Na Penina Malundo,Dar es Salaam HALMASHAURI ya Manispaa ya Kigamboni imesema kwamba imeanza mchakato wa kuyatambua maeneo yote yaliyopo katika...
Na Penina Malundo CHANGAMOTO ya wasichana kutembea umbali mrefu kwenda shule,ni moja ya tatizo inayochangia kupata hatari ya matukio ya...
Na Lubango Mleka, Igunga. WAKULIMA wa Skimu ya Umwagiliaji zao la Mpunga katika kijiji cha Mwanzugi, Kata ya Igunga, Wilaya...
Na Mwandishi Wetu. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa rai kwa Watanzania kuendelea kujilinda na magonjwa yasiyo ya kuambukiza kwa...
Na Penina Malundo, timesmajira RAIS Dkt.Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi kwa kuwateua Makatibu Tawala wa Mikoa...
Na. Catherine Sungura, Tabora Wananchi wameshauriwa kutoingiza maji kwenye masikio wakati wa kuoga pia kutosafisha masikio yao kwa kutumia pamba...
Na Ashura Jumapili,Bukoba, Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Albert Chalamila,ametoa maelekezo kwa mkandarasi aliyefunga taa katika mradi wa maegesho ya maroli...
Na. Catherine Sungura, WAF-Tabora WAKAZI wa Tabora na viunga vyake wameishukuru Serikali kupitia Wizara ya afya kwa kuwasogezea huduma za...