Na Mwandishi Wetu TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Makao Makuu, imewaita wabunge wa Chama cha Demokrasia na...
admin
Na Doreen Aloyce, TimesMajira Online, Dodoma BUNGE la Jamhuri wa Tanzania limepitisha kwa kishindo azimio la kumpongeza Rais John Magufuli...
Na Doreen Aloyce, Timesmajira Online, Dodoma MBUNGE wa Jimbo la Momba, David Silinde ametangaza rasmi kuhama Chama cha Demokrasia na...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55), amefariki kwa mshtuko wa moyo. Kwa mujibu wa taarifa...
Na Penina Malundo, TimesMajira Online MKUU wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Venance Mabeyo,amewataka askari wapya kuhakikisha wanalinda nchi kwa...
Na Doreen Aloyce, TimesMajira Online, Dodoma MBUNGE wa Jimbo la Kilombero, Peter Lijualikali, amesema kipigo alichopata Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online SERIKALI imetoa onyo kali kwa waajiri wote nchini, wanaokata michango ya wafanyakazi, lakini hawaiwasilishi kwenye...
Na Ashura Jumapili, TimesMajira Online, Biharamulo, JESHI la Polisi mkoani Kagera limefanikiwa kuwaua watu saba wanaodhaniwa kuwa majambazi waliokuwa wanajiandaa...
Na Esther Macha, TimesMajira, Mbeya MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, imemuhukumu kwenda jela miaka 30 mkazi Kijiji cha...
Na Penina Malundo, TimesMajira Online CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelitaka Jeshi la Polisi nchini kupanua wigo wa uchunguzi...