Na Joyce Kasiki,Timesmajira online,Dodoma JESHI la Kujenga Taifa (JKT) na Wizara ya Kilimo wametiliana saini mkataba wa mashirikiano katika kutekeleza...
admin
“Megawati 70 za umeme zimeshatengwa kwa ajili ya SGR hivyo hakuna cha kukwamisha mradi huo kwenye nishati hata kama ungeanza...
Na John Bera, Mwanza Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja amesisitiza kuwa fursa zilizoko kwenye Sekta ya Maliasili na...
Barafu ikiwa imezingira magari katika eneo la maegesho lililopo mjini Bakhchisaray, Crimea juzi. (Picha na REUTERS). Watu wakitembea karibu na...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online, Morogoro MRADI wa miundombinu ya umeme ambao utatumika kuendesha mradi wa treni ya umeme ijulikanayo...
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira Online.Morogoro BENKI ya NMB imeendelea kupanua wigo wa upatikanaji wa huduma zake kwa kufungua tawi jipya mkoani...
Na Steven Augustino,TimesMajira Online,Namtumbo DIWANI wa kata ya Likuyu wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma Kassimu Gunda amekasirishwa na kitendo kilichofanywa na...
Na Aveline Kitomary,TimesMajira Online,Dar es Salaam MTAALAMU wa Saikolojia kutoka Taasisi ya AAR, Dk Bonaventure Balige amesema watu waliougua magonjwa...
Na Angela Mazula,TimesMajira. Online JUMLA ya sh. milioni 550 zitatolewa na Benki ya NMB kwa njia ya zawadi baada ya...
Na Penina Malundo,TimesMajira.Online UKATILI wa Kijinsia ni miongoni mwa changamoto ambayo watu wanakumbana nazo ikiwemo kunyanyaswa, kupigwa, kutelekezwa na hata...