Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online. HUKU maambukizi na vifo vikizidi kuongezeka kwa kasi nchini India baada ya wimbi la pili...
admin
Na Catherine Sungura,TimesMajira online MAGONJWA yasiyoambukiza yanagharimu sana taifa na hivi sasa yanachukua maisha ya watu wengi na kwa rika...
MOGADISHU, Mshambuliaji wa kujitoa mhanga amewaua maafisa watano wa polisi mjini Mogadishu, Somalia kwa bomu. Mlipuko huo umesababishwa na mshambuliaji...
Na James Mwanamyoto RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba Serikali ya...
Na Munir Shemweta, Dodoma WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameshusha neema kwa wawekezaji 15 wa...
Na Mohamed Saif, Mwanza WADAU wa mabwawa kutoka taasisi za Serikali na sekta binafsi wamekutana jijini Mwanza katika warsha ya...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi na mamlaka ambazo zinashiriki kuendeleza wabunifu wachanga zihakikishe zinawawezesha...
Na Penina Malundo,Timesmajira Online. KATIBU Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga amesema bila kushughulikia sheria za vyombo...
Na Esther Macha,Timesmajira,Online,Mbozi MKUU wa Mkoa wa Songwe,Bregedia Nicodemas Mwangela amesema malalamiko yaliyotolewa na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira online, Dar es Salaam KATIBU wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Nevile Meena amechukua fomu leo...