Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online JUMLA ya majalada 367,022 yanatarajiwa kuingizwa kwenye mfumo wa kielekroniki wa kuhifadhi kumbukumbu za waalimu...
admin
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira Online BALOZI wa Marekani nchini Tanzania, Dkt.Donald Wright ametangaza msaada mpya kwa Wizara ya Afya ya Zanzibar...
Na Robert Hokororo, TimesMajira online, Zanzibar WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Saidi Jafo...
Na Mwandishi Maalumu,TimesMajira,Arusha WAZIRI wa Fedha na Mipango,Dkt.Mwigulu Nchemba amemuelekeza Msajili wa Hazina kufanya tathmini ya utendaji na ufanisi wa...
NAIROBI, Mahakama Kuu ya Kenya imeamuru kwamba mchakato uliokuwa ukiendelea wenye nia ya kuifanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo ya...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewapongeza na kuwashukuru wanachama, viongozi wa chama na jumuiya zake, wabunge,...
LILONGWE, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera anasema juhudi za kupambana na ufisadi zitacheleweshwa nchini humo kwa sababu Bunge linakataa kuthibitisha...
Na Aveline Kitomary,TimesMajira Online,Dar es Salaam. HIVI karibu kumekuwa na matukio kadhaa yanayoripotiwa ya wanaume wenye umri mkubwa kufariki katika...
Na Aveline Kitomary,TimesMajira online,Dar es Salaam. MIONGONI mwa sintofahamu wanayokumbana nayo baadhi ya wanawake ni matumizi ya dawa za dharura...
TAFITI moja kutoka nchini Australia imeonesha ya kuwa kwa kila saa mtu anavyoketi kuangalia luninga hupunguza uhai wake kwa dakika...