January 26, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Amos Lengael Nnko afariki kwa ajali ya gari

Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online

ALIYEKUWA Mkurugenzi wa utawala na usimamizi wa Rasilimaliwatu, Bw. Amos Lengael Nnko, ameaga Dunia kwa ajali ya gari iliyotokea Same, mkoani Kilimanjaro. Ajali hiyo ya gari imepelekea kifo cha binti yake, Maureen Nnko, huku mke wake, watoto wawili na mwanafamilia mmoja wakipatiwa matibabu katika hospitali ya KCMC na Mawenzi.