January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Act Wazalendo yazindua ilani uchaguzi serikali za mitaa

Kiongozi wa Chama Dorothy Semu amezindua rasmi Ilani ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji ya ACT Wazalendo. Tukio hilo limefanyika katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema, Makao Makuu ya Chama, Dar es Salaam.